BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Maandamano Tanzania: Balozi 16 za nchi za magharibi zataka uchunguzi huru wa matukio ya Octoba 29
Balozi hazi zimesisitiza kwamba Serikali ya Tanzania ina wajibu wa kutoa taarifa ya kina kuhusu hatima na mahali waliko watu wote waliotekwa nyara.
Moja kwa moja, DRC na Rwanda watia saini mkataba wa amani
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi na Paul Kagame wa Rwanda walipongeza makubaliano hayo yenye lengo la kumaliza mzozo uliodumu kwa miongo kadhaa katika eneo hilo.
Je! nyoka mweusi ana kasi gani, ni nyoka gani mwenye sumu zaidi, na ni nchi gani iliyo na nyoka wengi?
Watu wengi wanaogopa nyoka. Sumu katika meno yao, mashambulizi yao ya haraka, na sauti yao ya "s...s..." zote ni sababu za hofu hii.
Kilichotokea Gaza tangu kusitishwa kwa mapigano na sababu za mgogoro kuendelea
Mchakato unaoendeshwa polepole umesababisha kutokuwa na maendeleo katika hatua ya pili ya mpango wa amani wa Rais Donald Trump, ikiwa ni pamoja na udhibiti wa Gaza, uondoaji wa wanajeshi wa Israeli, kuachilia silaha kwa Hamas, na ujenzi upya.
Ukatili mtandaoni: Jinsi wanawake wanavyokabiliwa na hatari kubwa na namna wanavyoweza kujilinda
Mamilioni ya wanawake na wasichana hukabiliwa na unyanyasaji mtandaoni kila mwaka, kuanzia uchokozi mtandaoni na ufuatiliaji hadi aina nyingine za unyanyasaji unaotokana na teknolojia. Umoja wa Mataifa unatoa onyo kuwa mashambulizi kama haya mara nyingi huwasukuma wanawake kujiondoa mtandaoni, wakanyamazisha sauti zao. Tunaangazia aina tano za kawaida za ukatili wa kidijitali na hatua za vitendo za kujilinda.
Je, miamba ya ajabu inayopatikana kwenye sayari ni ishara ya uhai?
Hii ina maana kwamba vipimo vya ziada vinahitajika ili kubaini ikiwa kuna chanzo cha kibiolojia.
Tetesi za soka Ijumaa: Salah huenda akaelekea Saudia
Ligi Kuu ya Saudia bado iko katika nafasi ya kufadhili uhamisho wa Mohamed Salah endapo mshambuliaji huyo wa Misri ataamua kuondoka Liverpool.
Maandamano Tanzania: Marekani kutathmini upya uhusiano wake na taifa hilo
Marekani imesema kuwa inatathimini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia mauaji ya raia wengi wakati wa uchaguzi mkuu wa hivi karibuni.
Putin asema Urusi itachukua eneo lote la Ukraine la Donbas kwa nguvu
Putin alituma makumi ya maelfu ya wanajeshi nchini Ukraine mnamo Februari 2022 baada ya miaka minane ya mapigano kati ya watu wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Urusi na wanajeshi wa Ukraine katika eneo la Donbas.
Trump kuongoza utiaji saini wa makubaliano ya amani kati ya DRC na Rwanda
Viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda wako tayari kusaini makubaliano ya amani yanayolenga kumaliza mzozo wa muda mrefu katika eneo hilo.
Tume ya Vatican yapiga kura dhidi ya kuwaruhusu wanawake kuwa mashemasi wa Kikatoliki
Ripoti hiyo ilisema tathmini ya kundi hilo kuhusu suala hilo ilikuwa na nguvu, lakini "hadi leo hairuhusu uamuzi mahususi kufanywa".
Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025
Tanzania kwenye mzani wa nani 'beberu' nani mfadhili
Katika dhana ya ubeberu, kuna pia neno la "vibaraka" watu wanaotumika au wanaoonekana kutumika na masilahi ya mataifa makubwa yanayotajwa ya mabeberu.
'Who are you?' na hoja 6 zilizotikisa hotuba ya Rais Samia
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambayo ilichukua takribani saa moja, iligusa masuala kadhaa kuzungumza maandamano ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya uchaguzi ambayo BBC imeyachambua kupata hoja sita kubwa
Rais Samia -Nguvu Iliyotumika Oktoba 29 ilistahili
Akizungumza na wazee wa Dar es Salaam, Rais Samia alisema nguvu iliyotumika na vyombo vya dola ilikuwa ya lazima kulinda amani na kuzuia kile alichokitaja kama jaribio la kuvuruga utulivu wa nchi na mapinduzi.
Mandamano Tanzania: Maswali 9 magumu kwa Tume ya Oktoba 29
Jaji Othman Chande alisema uchunguzi utafanyika zaidi katika maeneo yaliyoathirika na ghasia Tanzania, lakini pia tume itakusanya ushahidi kutoka maeneo ambayo hakukuwa na matukio ili "kuelewa tofauti za mazingira na sababu
Tanzania: Tunashughulikia azimio la Umoja wa Ulaya kidiplomasia
Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, leo amekutana na wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania.
Hatua ya bunge la Ulaya dhidi ya Tanzania ina maana gani?
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya umedumu kwa miongo kadhaa, ukijengwa juu ya misaada, mikopo nafuu, ushirikiano wa kibiashara na miradi ya mageuzi ya kiuchumi na kijamii.
Bunge la Ulaya lapitisha azimio la kuitaka kamisheni kusitisha ufadhili kwa Tanzania
Hatahivyo, jukumu kuu la kusitisha ama kuendelea kuifadhili Tanzania lipo mikononi mwa kamisheni hiyo ya umoja wa Ulaya.
Maswali 7 magumu kwa Waziri Mkuu kuhusu Oktoba 29 Tanzania
Idadi ya vifo, miili kutopatikana, tuhuma za kaburi la halaiki, utekaji, uhuru wa habari na madai ya hujuma za kiuchumi yalikuwa maeneo yaliyogusiwa na kujibiwa na Waziri Mkuu
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaitaka ICC kuichunguza serikali ya Tanzania
Muungano wa kimataifa wa wanasheria na makundi ya haki za binadamu umeiomba rasmi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumchunguza rais wa Tanzania, na serikali yake kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Gen Z Tanzania wanavyozima udini kwa utani na ubunifu
Kwa takribani wiki moja sasa, mijadala ya udini imechukua nafasi kubwa katika mazungumzo ya mtandaoni nchini Tanzania, kufuatia matamko ya baadhi ya viongozi wa dini kuhusu maandamano na mabadiliko ya kisiasa nchini humo.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Vita vya Siku 12; Iran yatoa video za mashambulizi ya Israel kwenye kituo cha mfumo wa ulinzi
Katika hali isiyo ya kawaida, Shirika la Utangazaji la Iran (IBRC) lilitoa video za mashambulizi ya Israel dhidi ya kituo cha udhibiti wa ulinzi wa anga na kituo cha ulinzi cha jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Maelfu ya watu wanadhaniwa kuathiriwa na kemikali hatari wakati wa maandamano ya kupinga serikali Georgia
Mamlaka ya Georgia ilisema kwamba matokeo ya uchunguzi wetu ni "upuuzi" na kwamba polisi walitenda kisheria kama jibu kwa "matendo haramu ya wahalifu wenye ukatili."
Nchi 10 za Afrika zilizoathirika na tathmini mpya ya 'Green Card', Tanzania ipo?
Masharti mapya yanaweza kuongeza ucheleweshaji wa vibali, kufunga milango ya uhamiaji, na kuongeza wasiwasi miongoni mwa familia zilizo katika hatua mbalimbali za maombi ya kadi kijani 'Green Card'.
Viongozi 10 maarufu Afrika waliowahi kushtakiwa Mahakama ya ICC
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita mjini The Hague ICC imetakiwa kuchunguza madai ya mauaji ya watu wengi wakati wa msako mkali wa maandamano wakati wa uchaguzi nchini Tanzania mwezi uliopita
Kwanini vita dhidi ya ukatili wa wanawake ni ya kipekee?
Umoja wa Mataifa (UN) inakadiria zaidi ya wanawake 818 milioni duniani wamepitia ukatili wa kimwili au kijinsia idadi inayokaribia idadi ya watu wote wa Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Benjamin Netanyahu amuomba rais wa Israel amsamehe
Netanyahu amekuwa akikabiliwa na kesi kwa miaka mitano iliyopita kwa tuhuma za hongo, ulaghai na uvunjaji wa uaminifu kuhusiana na kesi tatu tofauti.
Yafahamu mambo 9 yatakayojadiliwa na Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania
Bunge la Ulaya leo Novemba 27, 2025 litajadili azimio linalohusiana na matukio ya Oktoba 29, 2025 siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi nchini Tanzania, haki za binadamu, ikiwemo kesi ya kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu.
Ligi ya Mabingwa: Jedwali, matokeo na timu zipi ziko mbioni kufuzu kwa awamu ya mtoano
Huku mashindano ya ligi ya mabingwa yakielekea katika raundi ya moandoano jumla ya mechi 18 zilichezwa siku ya Jumanne na Jumatano.
Nani wa kuizuia Arsenal msimu huu?
Siku mbili baada ya sare ya kustaajabisha ya The Gunners dhidi ya Sunderland kuwapa wapinzani wao wa Ligi Kuu matumaini mapya, ushindi wa Jumapili dhidi ya Tottenham umewarudisha kwenye kilele.
Kuwasaka wauaji na wauzaji wa viungo vya miili ya binadamu kwa ajili ya 'matambiko'
Huku familia nyingi zikiachwa na kiwewe kutokana na mauaji yanayohusishwa na mila za kichawi nchini Sierra Leone, BBC Africa Eye inachunguza wale wanaofanya biashara ya viungo vya mwili wa binadamu.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 5 Disemba 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 5 Disemba 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 5 Disemba 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 4 Disemba 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani









































































