Jose Kaimlett
Mandhari
Jose Kaimlett, HGN (Palackattumala, 5 Mei 1941 – 27 Juni 2018) alikuwa kasisi na mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Uhindi.[1]M [2]
Baada ya kupewa upadirisho mwaka 1966, mwaka 1978 alitumwa Roma, ambapo alipata udaktari wa sheria za kanuni mnamo 1981.
Aliporudi kutoka Roma mwaka 1984, alianzisha Shirika la Heralds of Good News, mwaka 1992 Masista wa Habari Njema, na mwaka 2003 Wamisionari wa Huruma. [3]; [4]
Vitabu vilivyochapishwa
[hariri | hariri chanzo]- Jose Kaimlett, Wisdom of the ages, Better yourself books, 1995.
- Jose Kaimlett, Insights, vol. 1: Compilation of 200 Stories on the Insights of Life, CreatiVentures, 2011.
- Jose Kaimlett, Insights, vol. 2: Compilation of 200 Stories on the Insights of Life, CreatiVentures, 2014.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Rev. Fr. Jose Kaimlett
- ↑ Araldi di Buona Novella
- ↑ "About Heralds of Good News". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-08-10. Iliwekwa mnamo 2025-08-01.
- ↑ "About Heralds of Good News". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-08-10. Iliwekwa mnamo 2025-08-01.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Hierarchy (Kiingereza)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |