close
The Wayback Machine - https://web.archive.org/web/20110316040225/http://kiswahili.irib.ir:80/index.php

Uchambuzi

News image

Iran yawasilisha malalamiko dhidi ya uingiliaji wa askari wa kigeni nchini Bahrain

Hatua ya nchi za Saudi Arabia na Imarati ya kutuma vikosi vya majeshi katika nchi ya Bahrain kwa kisingizio cha kurejesha amani na utulivu nchini humo imepingwa vikali ya Jamhuri...

News image

Nchi za Kiislamu zatakiwa kuwasaidia wananchi wa Libya

Wananchi wa Libya ambao wanaendelea na harakati zao za Mapinduzi za kumuondoa madarakani dikteta wa nchi hiyo Kanali Muammar Gaddafi wamezitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kuwasaidia wananchi hao dhidi...

News image

Kuimarika uchumi wa Iran licha ya vikwazo vya Marekani

Licha ya propaganda hasi na madai ya uongo ya vyombo vya habari vya nchi za Magharibi, Iran inakamilisha mwaka huu wa Kiirani wa 1389 Hijria Shamsia kwa mafanikio na maendeleo...

News image

Kurejea Alassane Ouattara nchini Ivory Coast

Alassane Ouattara anayetambuliwa na jamii ya kimataifa kuwa rais halali wa Ivory Coast jana Machi 13 alirejea katika mji mkuu wa kiuchumi Abidjan, baada ya kukamilisha safari yake katika nchi...

Leo katika historia

News image

Jumanne, Machi 15, 2011

Leo ni Jumanne tarehe 10 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1432 Hijria inayosadifiana na tarehe 15 Machi 2011 Miladia. Siku kama ya leo miaka 1231 iliyopita inayosadifiana na tarehe 10 Rabiu...

News image

Jumatatu, Machi 14, 2011

Leo ni Jumatatu tarehe 9 Mfunguo Saba Rabiul Thani 1432 Hijria inayosadifiana na 14 Machi 2011 Miladia. Siku kama ya leo miaka 132 iliyopita, inayosadifiana na tarehe 14 Machi 1879...

News image

Jumapili, Machi 13, 2011

Siku kama ya leo miaka 1200 iliyopita inayosadifiana na tarehe 8 Rabiul Thani 232 Hijria, alizaliwa Imam Hassan al Askari AS mmoja kati ya wajukuu wa Mtume Muhammad SAW katika...

News image

Jumamosi, Machi 12, 2011

Leo ni Jumamosi tarehe 7 Mfunguo Saba Rabiul Thani 1432 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Machi 2011 Miladia. Siku kama ya leo miaka 81 iliyopita inayosadifiana na tarehe 12 Machi...

Michezo

News image

Manchester United wazidisha masaibu ya Arsenal

Manchester United imeicharaza Arsenal 2-0 katika kombe la FA  huko Uingereza na hivyo kupelekea vijana wa Wenger kuondolewa katika makombe matatu kwa muda wa siku 13.Mabao ya timu shupavu ya...

News image

"Wekundu wa Msimbazi" wainyuka Ruvu Shooting na kuongoza Ligi Kuu Tanzania Bara

Hatimaye mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba Sports Club maarufu kwa jina la "Wekundu wa Msimbazi" wamerejea kileleni kwenye msimamo wa ligi baada ya kuizamisha Ruvu Shooting bao 1-0...

News image

Van Persie hawezi kukata rufaa dhidi ya kadi nyekundu iliyozua utata

UEFA imethibitisha kuwa, mchezaji machachari wa timu ya Arsenal ya Uingereza, Robin van Persie, hawezi kukata rufaa dhidi ya kadi nyekundu iliyozaa utata aliyopewa na mwamuzi wakati wa mchuano wa...

News image

Baca yaizaba Gunners 3-1 ugani Camp Nou

Uwanja wa soka wa Camp Nou mjini Barcelona nchini Uhispania uligeuka na kuwa kinyozi walikonyolewa bila maji vijana wa Arsenal usiku wa Jumanne kwa kuchabangwa 3 -1 na mabingwa wa...

Uislamu

Mwanadamu, Dini na Suluhisho la Matatizo ya Kinafsi (1)

News image

 Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu Assalaamu Alaykum wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Huu ni mfululizo wa makala za Mwanadamu,...

More in: Dini

Kiongozi Muadhamu

Wasifu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

News image

Tangu Kuzaliwa Kwake hadi Kuanza Masomo: Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullahil Udhmaa Sayyid Ali Khamenei ni mwana wa marehemu Hujjatul Islam wal Muslimin al-Haj Sayyid Jawad...

More in: Kiongozi Muadhamu

Sayansi

Umuhimu wa elimu katika Uislamu

News image

Katika Uislamu elimu na masomo yamepewa umuhimu mkubwa sana. Aya ya kwanza ya Quran Tukufu imesisitiza kuhusu elimu na masomo na umuhimu wa kalamu. Umuhimu huu ni mkubwa kiasi kwamba...

More in: Sayansi

Afya

Malaria

News image

Hii ni sehemu nyingine ya mfululizo wa makala za Ijue Afya Yako mfululizo ambao huchunguza masuala mbalimbali ya afya ya jamii. Leo tutazungumzia ugonjwa wa Malaria ambao umekuwa tishio kubwa...

More in: Afya